MWANAMUZIKI wa Bongofleva, Diamond Platnumz, 36, kwa sasa anavuma na wimbo wake mpya, Happy (2026), ambao unaonyesha matunda ya ustahimilivu wake baada ya kuzikabili changamoto.
NI wanamuziki wachache wenye uthubutu wa kusema wimbo wake fulani ameandikiwa na mwenzake au walishirikiana kuandika, lakini wapo wanaoweka hilo wazi kama sehemu ya kuthamini mchango wa wenzao.