Maelezo ya picha, Kuna aina ya mbu wanaosamba magonjwa ya dengi, chikungunya, Zika na homa ya njano. 11 Agosti 2020 Mbu huambukiza magonjwa kwa watu karibia milioni 100 kila mwaka na jinsi ...
Kijiji hicho kilizungushiwa neti ili kuzuia ukungu ama mbu kutoka kwenye eneo la utafiti. Chanzo cha picha, Etienne Bilgo Maelezo ya picha, Neti kubwa zilifungwa kwenye kijiji hicho ili kuzuia mbu ...