Tangu zianze kuhudumia abiria miaka michache iliyopita nchini humo, maneno na misemo yenye bashasha na ya kufurahisha, yamekuwa ndio mtindo wa kileo. Zamani maneno haya ungeyakuta kwenye kanga, kawa ...
Kiswahili kina utajiri mkubwa wa misemo, methali na simo, ambazo licha ya kufumbata ujumbe mzito ndani yake, pia hutumiwa na Waswahili wenyewe kuakisi maisha na mazingira yao. Kwenye sehemu hii ya ...
Vijana wamekuwa wakitumia misemo katika mawasiliano yao ya kila siku. Wenyewe wanasema inakuza mahusiano miongoni mwao na kuleta uchangamfu katika mazungumzo. Sikiliza makala ya vijana mchakamchaka.