News

Maelezo ya picha, Mbu hawa wananofiwa kuanza kusababisha Malaria . 21 Mei 2014. Utafiti uliofanywa nchini Uingereza unaonyesha kuwa Mbu wameanza kuvamia maeneo mbali mbali ya nchi hiyo.
Utafiti mpya umebaini kwamba mbu hutafuta kitu cha kula kwa kutumia vigezo vitatu,harufu,macho na joto. ... Chanzo cha picha, SCIENCE PHOTO LIBRARY. Maelezo ya picha, Mbu. 17 Julai 2015.
Utafiti mpya umegundua kuwa aina mpya ya vyandarua vya kuzuia mbu vitasaidia katika vita dhidi ya ugonjwa Malaria baada ya kemikali inayotumika katika vyandarua vya zamani kuzoeleka na mbu.