Sakata la wachezaji watatu wa timu ya Singida Black Stars (SBS), waliopewa uraia wa Tanzania, limechukua sura mpya baada ya Wakili Peter Madeleka kutangaza kufungua kesi ya kikatiba Mahakama Kuu.